Kila Kitu Ulichohitaji
Mfumo uliojengwa mahsusi kwa mahitaji ya elimu Tanzania
Majukumu 4 ya Watumiaji
Super Admin, Mkoa Admin, Wilaya Admin, na Muingizaji wa Data — kila mmoja ana dashboard yake na ruhusa maalum.
Uingizaji wa Alama
Jedwali la wanafunzi linajazwa moja kwa moja. Masomo yasiyosajiliwa yanazuiwa. Template ya Excel inapatikana.
Uchakataji wa Papo Hapo
Bonyeza kitufe kimoja — mfumo unachakata daraja, division, na nafasi kwa wanafunzi wote wa mkoa mzima.
Ripoti za Kina
Ripoti za mkoa, wilaya, shule, na mwanafunzi mmoja mmoja. PDF na Excel. Tayari kuchapishwa.
Excel Import/Export
Pakua template ya Excel yenye data za shule. Ijaze nje ya mfumo. Pakia tena — mfumo unaanisha kiotomatiki.
LAN Sharing
Mfumo unafanya kazi bila mtandao wa nje. Wagawane kwenye network ya ndani. Wanaweza kufikia kwa wakati mmoja.
Hifadhi ya Ndani
Data inabaki kwenye kompyuta yako. Hakuna seva ya nje. Backup rahisi — pakua faili moja.
Usalama wa Juu
Kila mtumiaji anapewa ruhusa za ngazi yake tu. Kumbukumbu ya kila hatua (audit log). Hakuna data inayovuja.
Hatua 4 za Mfumo
Kutoka kuingiza alama hadi ripoti zilizochapishwa
Kuingiza Alama
Muingizaji anachagua shule yake, darasa, na kujaza alama za wanafunzi. Anaweza kutumia jedwali la mfumo au Excel.
Uhakiki wa Wilaya
Admin wa Wilaya anaona maendeleo ya kila shule. Akisatisfied, anathibitisha na kupeleka kwa mkoa.
Uchakataji wa Mkoa
Admin wa Mkoa anapokea taarifa za wilaya zote. Akizikamilisha, anaanzisha uchakataji wa matokeo.
Ripoti Zinazochapishwa
Matokeo yaliyochakatwa yanapatikana. Ripoti za mkoa, wilaya, shule, na mwanafunzi mmoja zinaweza kuchapishwa.
Anza Kutumia RERPS Leo
Jiandikishe kwa akaunti ya Super Admin na uanze kusanidi mfumo kwa mkoa wako.